Mwimbaji na muigizaji NYota kutoka nchini Marekani,Whitney
Houston,amefariki dunia muda mfupi uliopita(Jumamosi mchana saa tisa na
dakika hamsini na tano kwa saa za Marekani-Pacific) akiwa na umri wa
miaka 48. Whitney Houston ambaye ni miongoni mwa waimbaji waliokuwa na
kipaji cha aina yake katika uimbaji,amekutwa na walinzi wake wa
karibu(bodyguards) akiwa hajitambui katika gorofa ya nne ya chumba cha
hotel ya The Beverly Hilton alipokuwa amefikia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments