Skip to main content

JK ATUA DODOMA LEO, AENDESHA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Bi. Betty Mkwasa mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Dodoma leo January 10, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha  Baraza la Mawaziri ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo
 PICHA NA IKULU

Comments