Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitembelea shamba la mahindi la Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lililopo
Kijiji cha Vilolo wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Katavi na
Rukwa leo Februari 20, 2012.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitembelea shamba ufugaji wa Nyuki wa kisasa la Waziri Mkuu Mizengo
Pinda, lililopo Kijiji cha Vilolo wakati akiwa katika ziara yake ya
mkoa wa Katavi na Rukwa leo Februari 20, 2012. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
Comments