
MSANII
nguli mchini wa mziki wa mduara Omari Mkari yupo mbioni kukamilisha
albam mchanganyiko yenye nyimbo kadhaa za kusifia bwana akizungumza na
mwandishi wetu Alisema kuwa kwa sasa ameamua kuweka kando miziki ya
kidunia kwa kuwa wakati umekwenda na sasa atakuwa akishirikiana na
kwaya mbalimbali kwa ajili ya kutoa nyimbo za kumtukuza bwana
Akizungumzia DVD ambayo ipo njiani kutoka itakayokwenda kwa jina la
Mkono wa Bwana iliyotolewa na Amen Part 3 Aliyoshilikiana na msanii wa
Zuku Stara Tomas itakuwa moto wa kuotea mbali kwani kwa sasa kazi hizo
zitakuwa zikisimamiwa na kampuni ya Steps Entatainmenti na kuwa na soko
la uwakika kwakuwa kampuni hiyo imesambaa takribani nchi nzima na nchi
za jirani kwa sasa Albamu hiyo itakayokuwa na nyimbo nane itakua chachu
kwa watu wengu kumtukuza bwana
Comments