Viongozi
wa dini wakijiandaa kwa ibada ya kumuaga aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa
Utawala na rasilimali Watu na Mshauri Mkuu wa mambo ya Utawala wa Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania marehemu
Leo Theodore Mnyanga aliyefariki dunia tarehe 22 Feb. 2012 na kuzikwa
katika makaburi ya Mlima Kola nje kidogo ya mji wa Morogoro jana tarehe
26 Feb. 2012. Picha zote na Prosper Minja -Bunge
Spika Makinda akiweka udongo kaburini.
Comments