Watuhumiwa
wa kesi ya wizi wa samaki kinyume cha sheria eneo la Tanzania Hsui Chin
Tai (kushoto) na Zhao Hinguin wakitolewa Mahakama Kuu Tanzania Kitengo
cha Biashara, Dar es Salaam leo, wakiwa chini ya ulinzi baada ya
kutiwa hatiani na kufungwa jela miaka 20 au kulipa faini ya Sh.Bilioni
1 na Milioni. 20. Wengine wameachiwa huru.Inatoka kwa mdau.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments