Mpigie kura mkali wa hiphop Fid-Q aweze kunyakua tunzo ya Best Male Hip-Hop Artist of the Year. Kumpigia kura Fid Q, Tuma neno P5 kwenda namba 15747. email au barua pepe, ktma@innovexdc.com au tembelea tovuti www.killtimetz.com au www.teentz.com.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments