Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa
Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shik wakimkabidhi mshindi wa milioni
nne Bw.Benetson Gobelabo wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa
promosheni ya 'zamu yako kushinda.(picha na burudan blog)
Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa
Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shik wakimkabidhi mshindi wa lap top
Bi.Theresia Kagoma wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa promosheni
ya 'zamu yako kushinda.Inatoka burudan blog.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments