Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akiwa amembeba mtoto wa
miezi saba, Sinani Makame, ambaye ni miongoni mwa wagonjwa 21 wa moyo
waliotarajiwa kusafiri jana kwenda New Delhi, India kwa ajili ya
upasuaji wa moyo. Kulia ni mama mzazi wa mtoto huyo, Shara Jaffar, Dk.
Rajni Kanabar wa Hospitali ya Regency (wa pili kulia) na baadhi ya
viongozi wa Lions Club Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments