Waziri
mkuu mstaafu na mbunge wa Longido Edward Lowasa (kushoto) akijadili
jambo na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Stephen
Wasira (katikati) na mbunge wa viti maalum CHADEMA Leticia Nyerere leo
mjini Dodoma.
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi
(katikati) akifurahia jambo na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi
(kulia) maarufu kwa jina la Sugu (CHADEMA) na mbunge wa Kigoma mjini
Peter Selukamba (kushoto) nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma. Kwa hisani ya mdau.
Comments