CAIRO, Misri Mastaa watangaza Kustaafu Kucheza Soka baada ya kushuhudia Mapigano
Aboutrika
CAIRO, Misri
WACHEZAJI
nyota watatu wa kimataifa wa Misri, wametangaza kustaafu kucheza soka
baada ya kushuhudia mapigano.
Viungo Mohamed
Barakat, Mohamed Aboutrika na mshambuliaji, Emad Motaeb wa Al-Ahly
wamekieleza kituo cha televisheni cha Misri kuhusu uamuzi wao huo mara
baada ya vurugu hizo.
Comments