Uzinduzi
wa kumbu kumbu ya mwanzilishi wa skauti Ulimwenguni bw Robert Baden
PowelL na mkewe Bi. Oliva Powell(lady baden powell)kimkoa umefanyika
leo na kilele ni siku ya tar.25 ya mwenzi huu kwenye viwanja vya sheikh
Amri Abeid jijini hapa kwa maonyesho na matamasha kote nchini.
Hayo
yamesemwa nakamishina mkufunzi mkuu wa taifa bi Margareth Olumbe wakati
akisoma risala ya maskauti wa kike hapa Arusha na kusema kuwa girl
guide hapa nchini ilanzishwa mnamo mwaka 1928 na girl guide 9 na
walijiita 1st Kilimanjaro na walikuwa na uhusiano na mke wa
gavana wa wakati huo ukaingia ukimya wa muda mrefu na guiding
haikusikika hadi 1934 mke wa gavana Lady Mack alianzisha kampuni
nyingine Dar es-salaam na ikaitwa 1st Dar –es-salaam kampuni na ilikuwa na wazungu tu baadae alianzisha first dar-es-salaam Brownes na ilkuwa mchanganyiko.
Kuna
changamoto nyIngi kubwa zinazowakabili girl guide hapa mkoani na taifa
kwa ujumla zikiwemo kuwatoa watoto katika tabia hatarishi kuwa raia
wema,wazazi ambao wangesaidiana nasi wamekuwa na shughuli nyingi na
wengine hawafikiki hata na watoto wao,mwitiko wa wananchi
Akatoa
ombi kwa mgeni rasmi ambaye alimwakilisha mlezi wa skauti wa kike hapa
nchini mama Salma Kikwete bi Pendo Laizer kutoka(CASEC) kuwa awe mlezi
wa girl guide wa arusha na mgeni huyo kukubali kuwa mlezi na
kuwatafutia wafadhli wakukisaidia girl guide mgeni huyo aliambatana na
mgeni kutoka nchini uingereza bi jill Nicholson na Yona .M.Mziba kutoka
kitengo cha polisi jamii mkoani hapa
Comments