Skip to main content

Uteuzi Zanzibar



Na Kijakazi Abdalla-Maelezo Zanzibar 15/02/2012

,Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu amemteuwa Abdul-hakim Ameir Issa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumushi ya Mahkama Zanzibar

Akitoa taarifa hiyo kwa Waandishi wa habari Mrajisi wa Mahakama Yessaya Kayange amesema kuwa kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa na Sheria ya Utumishi wa umma namba 2 ya mwaka 2011 kifungu namba 34(2) ambapo kifungu hicho kimemtaka Jaji wa mahakama kuteuwa mwenyekiti ambaye anatakiwa kuwa na sifa za Jaji wa Mahakama kuu

Aidha Jaji Mkuu ameteuwa wajumbe watano wa Tume hiyo , akiwemo Kadhi mkuu wa Zanzibar Skh Khamis Haji Khamis , Safia Masuod Khamis Mwanasheria wa Serikali anayemwakilisha Mwanasheria Mkuu, Salum Taufig Ali Wakili wa kujitegemea anayewakilisha Chama cha Wanasheria Zanzibar , Othman Bakari Othman Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Serikalini pamoja na Hamidu A.S.Mbwezeleni ambaye ni Wakili wa kujitegemea pamoja na Yessaya Kayange ambaye anakuwa Katibu wa Tume hiyo.

Pamoja na hayo Mrajisi wa mahakama alisema kuwa kazi kubwa ya Tume hiyo ya Utumishi ni kuajiri watu kushika nafasi za utumishi ikiwemo kuthibitisha ajira zao za utuimishi

Akielezea kazi za Tume hiyo Mrajis alisema kuwa ni pamoja na kushughulikia na kupendekeza Serikalini mishahara na marupurupu ya watumishi wao pamoja na kuidhinisha nyongeza ya utumishi mpaka miaka miwili.

Kazi nyengine ya Tume hiyo ni kuthibitisha upandaji vyeo kwa wajiri pamoja na kushughulikia suala lolote lililopelekwa kwake na Waziri, Katibu Mkuu Kiongozi au Mkuu wa Taasisi kwa maamuzi au maelekezo.

Mnamo tarehe 31.1.2012 Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makugu alizundua rasmi Tume ya Utumushi ya Mahakama ili kuanza kufanya kazi zake ambapo leo amewateua rasmi wajumbe wa Tume hiyo.

IMETOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.