Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka jiwe la Msingi katika Soko lililojengwa kwa nguvu za wananchi
la Mfumbi, baada ya kuwasili Wilaya ya Makete kuanza ziara ya siku tatu
mkoani Iringa jana Februari 27, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipanda mti wa matunda wa kumbukumbu katika eneo la Chuo cha
VETA cha Wilayani Makete mkoa wa Iringa, baada ya kuweka jiwe la msingi
katika chuo hicho ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya mkoani
Iringa jana Februari 27, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Comments