akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Usalama Kazini, Nassor Abdallah, kuhusu vifaa vya
usalama kazini vinavyotumika na wafanyakazi wa migodini wanapokuwa kazini, wakati Makamu
akiwa kazitika ziara yake ya Mkoa wa Ruvuma jana Februari 15, alipotembelea mradi wa Mto
Mkuju unaojiandaa na uchimbaji wa madini ya Urani kupitia kampuni yake ya Manta Tanzania.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammeed Gharib Bilal,
akipokea
zawadi ya Mbuzi kutoka kwa Wzee wa Kijiji cha Likuyu Sekamaganga, baada
a kumaliza mkutano wa hadhara wakatia akiwa katika ziara yake ya Mkoa
wa ruvuma jana Februari 15, 2012. Picha na
Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mjiologia Mkuu wa Kampuni ya Mantra Tanzania, Emmanuel
Nyamusika kuhusu utafiti wa upatikanaji wa madini ya Urani, wakati Makamu akiwa kazitika
ziara yake ya Mkoa wa Ruvuma jana Februari 15, alipotembelea mradi wa Mto Mkuju
unaojiandaa na uchimbaji wa madini ya Urani kupitia kampuni yake ya Manta Tanzania. Picha
na Muhidin Sufiani-OMR
Comments