MDOGO WANGU ROSE NDAUKA, ALITETA NA MIE JUZI KUWA SASA YUPO TYR KUOLEWA,KAMA DADA SINA BUDI KUKWAMBIA RUKSA MAMA.
Wednesday, January 25, 2012
Tulikaa muda mwingi chumbani kwake na kuteta tukajifotoaje ili siku ya siku ikifika asiende usokotela unyago,Nimkumbushe tulianzia chumbani mume ukamtaka mwenyewe haya cousin yangu utalikuta joka likwerere.
Ni kubadili tu mikao ilimradi mazungumzo yafike muafaka kwa nguvu za mwenyezi mungu utaolewa tu.
Mpaka kapungua chezea mkakati wa ndoa wewe gangamala mama ndoa si kitu cha mchezo nakuaminia na ndoa haina mzungu bibi wote wazaramu.
Dada mdomo huo ndio kigele gele au,Nakutakia kila lakheri ktk maandalizi ya harusi yako niko nyuma yako damu nzito kuliko maji. Inatoka kwa mdau www.didamitikisiko.blogspot.com
Comments