Waokoaji wakiendelea kuchomoa watu walionasa kwenye baadhi ya mabehewa.
Baadhi ya majeruhi waliokolewa wakisubiri kupelekwa hospitali kwa matibabu zaidi
Mmoja wa abiria akichomoka ili kujinusuru katika ajali ya trein.
Majeruhi wakikimbizwa ndani ya helcopter ili kuwahishwa hospitalini kwa matibabu zaidi.
Hali sio nzuri kwa baadhi ya abiria,pichani waokoaji wakiwakimbiza majeruhi hospitalini.
Comments