Wanajeshi
wawili wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania. ( Kushoto ) ni Luten Tanu
Oscar Mlowezi 521 KJ , na wa (kwanza kulia ) ni Luten Mary Shayo 501 KJ
waliofikisha Mwenge wa Uhuru kwenye Kilele cha Mlima Kilimanjaro
wakitoa Ushuhuda wao kwenye Mkutano wa Tathimin ya Mbio za mwenge
Mkoani Morogoro leo
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Vijana, Wanawake
na Watoto Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Msham Abdulla Khamis
aliesimama katikati akifunga mkutano wa Tathimin ya mbio za Mwenge wa
Uhuru na wiki ya Vijana katika Ukumbi wa Edema Mkoano Morogoro jana .
Baadhi
ya viongozi waandamizi wa Kitaifa na waandaaji wa sherehe za Mwenge
wakiwa kwenye tathimin ya mbio za Mwenge na wiki ya vijana wakati wa
mkutano wao uliofanyika kwenye Ukumbi wa Edema Mkoani Morogoro leo
wakiwa kwenye majadiliani ya kina .
Kamisaa
wa Tume ya Sensa ya Taifa Mhe. Paul Kimiti akiongea na Viongozi na
Waandaji wa Mbio za Mwenge Kitaifa kwenye mkutano wao wa kutathimin
mbio za Mwenge uliofanyika kwenye Ukumbi wa Edema Mkoani Morogoro leo.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Vijana, Wanawake
na Watoto Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Msham Abdulla Khamis wa pili
kulia , akiwatambulisha Wanajeshi wawili wa Jeshi la Wananchi wa
Tanzania ndugu Tanu Mlowezi kushoto na Mary Shayo Kulia waliofikisha
Mwenge wa Uhuru kwenye Mlima Kilimanjaro, Wengine ni Naibu Katibu Mkuu
wa Wizara ya Habari ,Vijana ,Utamaduni na Michezo mama Sihaba Nkinga wa
tatu kulia wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa Vijana ndugu James Kajugusi
wa nne kulia na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Vijana Dkt.
Steven Kissui kwenye mkutano wa Tathimin ya mbio za Mwenge uliofanyika
kwenye Ukumbi wa Edema Mkoani Morogoro leo.Source full shangwe.
Comments