Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Erastus Mwencha, Naibu
Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katikati ni Kamishna wa
Maendeleo ya vijijini na Kilimo wa Kamisheni hiyo, Bi Rhoda Tumusiime
waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo (jana) January 16, 2012.
Viongozi hawa wako nchini kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka
nchi Saba za Afrika unaofunguliwa kesho (leo) (January 17, 2012)
Kilimanjaro Hyatt hotel jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU
Comments