Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Kituo cha mnada wa Ng’ombe
katika Kijiji cha Mkiu Wilaya ya Mkuranga, akiwa katika ziara yake ya
Mkoa wa Pwani, leo januari 02, 2012
Makamu
wa rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalum, kuhusu ufugaji wa Kuku wa
mayai, wakati alipotembelea na kuweka Jiwe la msingi katika kituo cha
Shamba la Kuku kilichopo Kijiji cha Mkiu Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa
Pwani, leo Januari 02, 2012, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa
Pwani
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka Jiwe la Msingi katika Kituo cha Mradi wa shamba la Kuku
lililopo Kijiji cha Mkiu, Wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani,
linalomilikiwa na Mtanzania mzawa, Abdulwahd Mohamed (kulia), wakatia
akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo Januari 02, 2012
Makamu
wa rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalum, kuhusu ufugaji wa Kuku wa
mayai, wakati alipotembelea na kuweka Jiwe la msingi katika kituo cha
Shamba la Kuku kilichopo Kijiji cha Mkiu Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa
Pwani, leo Januari 02, 2012, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa
Pwani
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitembelea na kukagua mabanda ya kufugia kuku katika kituo hicho cha
Shamba la Kuku kilichopo Kijiji cha Mkiu Wilaya ya Mkuranga akiwa
katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani, leo Januari 02, 2012
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitembelea na kukagua
mabanda ya kuku katika kituo cha Shamba la Kuku kilichopo Kijiji cha
Mkiu Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani, wakati akiwa katika ziara yake
ya Mkoa wa Pwani leo Januari 02, 2012. Kushoto ni Mkurugenzi wa kituo
hicho, Abdulwahd Mohamed na (kulia) ni Mama Zakhia Bilal
. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Comments