MKOA WA IRINGA KUTUMIA ZIARA YA MAKAMU WA RAIS KUNYANYASA WANAHABARI
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr. ii au Sugu’,
wakati akiondoka eneo la Uyole, baada ya kuweka jiwe la msingi katika jengo
la SACCOS-UWAMU lililopo Mbeya mjini, wakati akiwa katika ziara yake ya
Mkoa wa Mbeya Februari 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Comments