Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2012

Missing Malcolm X: Are Rappers Scared of Revolution?

by TRUTH Minista Paul Scott   Tweet Share 6 View Comments             i   2 Votes Share with Shortlink: Malcolm X photo courtesy of indeliblephotos.com “How long shall they kill our prophets, while we stand aside and look ?” – “Redemption Song”, Bob Marley On February 21, 1965 at the Audubon Ballroom in NYC, Malcolm X was gunned down just before he was about to put America on blast for dissin’ Black people. On that same date almost 50 years later, aspiring rapper, Murda U was shot in that same spot for dissin’ another rapper on a YouTube video. Although, there were several witnesses, because of the “no snitchin’ ” code of the streets, the shooter remains at large… One of the best known icons in African American history is Malcolm X. Although he started off hust...

TAMKO LA VINEGA JUU YA MAKUBALIANO YA SUGU NA RUGE

Sisi kama kundi la Vinega kwa niaba ya umma wa watanzania wanaotuamini na kutusikiliza tumeridhia mapatano ya kumaliza ugomvi kati ya Mh. Joseph Mbilinyi (SUGU) na Bwana Rugemalila Mutahaba(ugomvi uliodumu kwa zaidi ya miaka 10 kabla hata ya anti-virus ikiwemo kutopiga nyimbo zake na kuporwa wazo la mradi wa malaria) ili kuweza kupiga hatua mpya katika kusaidia sanaa na pia kuonyesha dhamira yetu ya msingi kuwa, kwetu sisi ugomvi sio kati ya Sugu na Ruge bali ni mifumo mibovu ambayo imekuwa ikikumbatiwa na Bwana Ruge ili kuvuruga sanaa hii ya muziki na usambazaji, katika hili tutaweza kuwakomboa maelfu ya vijana wanaofanya muziki huu. Sisi ni wawakilishi wa maelfu ya wafuasi wa mlengo huu ambao malengo husika yanafahamika, si rahisi sana kukaa meza moja na adui yako lakini kwa kuzingatia matakwa na maslahi ya wote na kufanikisha kile tulichokipigania(kwa hatua ya kwanza) mbele ya kamati ya Bunge na katika matoleo ya Anti virus yaliyopita tumejiridhish...

ORIGINO KOMEDI "TUKO LIKIZO TUTARUDI HEWANI SOON"

  Mara Baada  ya magazeti mengi ya udaku jana nchini kuandika kwamba lile kundi la vichekesho nchini Original Komedi,ambalo linaonyesha vichekesho vyako kwenye runinga ya Taifa Tbc 1,kwamba limesambaratika ni uzushi mtupu...Kwa mujibu wa kiongozi na muasisi wa kundi hilo Sekion David amesema “Hayo ni maneno ya uzushi ya watu, mambo yetu sisi huwa hatupendi kuyazungumza hadharani, watu wako likizo baada ya muda watarudi hewani, ukienda kwenye website yetu huwa tunaandika kila kinachoendelea, hizo taarifa hazina ukweli wowote”Hata hivyo kwenye website yao, kuna tangazo linasema Orijino Komedi na timu nzima itakua likizo kwa mwezi january 2012 tu, baada ya hapo watarudi kazini.

MKOA WA IRINGA KUTUMIA ZIARA YA MAKAMU WA RAIS KUNYANYASA WANAHABARI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr. ii au Sugu’, wakati akiondoka eneo la Uyole, baada ya kuweka jiwe la msingi katika jengo la SACCOS-UWAMU lililopo Mbeya mjini, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Mbeya Februari 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

SHULE YA MSINGI MUUNGANO MJINI IRINGA YAFUKUZWA WANAFUNZI WASIOTOA MICHANGO

Wanafunzi wa shule ya msingi Muungano mjini Iringa wakizunguka mitaani baada ya kufukuzwa na walimu wao leo asubuhi kwa kukosa michango ya mitihani ya majiribio kwa kila mmoja shilingi 3,000 Wanafunzi hawa wakiwa wamejipumzisha katika moja kati ya mtaa baada ya wazazi wao kushindwa kuwapa mchango huo wa mtihani wa majaribio wa kila mwezi kwa darasa la nne katika shule hiyo Wanafunzi wa shule ya Msingi Muugano mjini Iringa wakirudi nyumbani leo asubuhi baada ya kufukuzwa na uongozi wa shule hiyo kwa kushindwa kulipa mchango wa mitahani wa majaribio wa kila mwezi kwa wanafunzi hao wa darasa la nne.Inatoka www.francis godwin.blogspot.com

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AANZA ZIARA YA MKOA WA IRINGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka jiwe la Msingi katika Soko lililojengwa kwa nguvu za wananchi la Mfumbi, baada ya kuwasili Wilaya ya Makete kuanza ziara ya siku tatu mkoani Iringa jana Februari 27, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa matunda wa kumbukumbu katika eneo la Chuo cha VETA cha Wilayani Makete mkoa wa Iringa, baada ya kuweka jiwe la msingi katika chuo hicho ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya mkoani Iringa jana Februari 27, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

EAST AFRICAN GOSPEL STAR ROSE MUHANDO SIGNS MULTI-RECORD DEAL WITH SONY MUSIC

      Global recording company Sony Music Entertainment is proud to announce the signing of East African Gospel Star Rose Muhando to its roster of artists, which includes some of the most important recordings in history.    The signing was announced at a press conference in Dares Salaam, Tanzania on the 9th February 2011, and is the first deal of its kind for East Africa. Rose Muhando is undoubtedly one of Africa’s biggest selling and most acclaimed gospel artists, with millions of fans throughout East Africa and her home country Tanzania. The gospel diva has now been signed to a multi-album recording deal with Sony Music, and a fullservices management deal with Sony Music and ROCKSTAR4000. Sony Music Entertainment Africa views the continent of Africa as a highly important music development frontier and believes that some of the best talent in theWorld is currently creating and performing music across the continent. Sony has set its ...

Nigeria Vs Taifa Stars Kuchuana Dar

Release No. 031 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Februari 27, 2012 MAKOCHA POULSEN (TAIFA STARS), ANGELS (MAMBAS) Makocha Jan Poulsen wa Tanzania (Taifa Stars) na Gert Josef Angels wa Msumbiji (Mambas) kesho (Februari 28 mwaka huu) watakuwa na mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia maandalizi ya timu zao. Taifa Stars na Mambas zitapambana Februari 29 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni katika mechi ya kwanza ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwakani nchini Afrika Kusini. Mkutano huo na waandishi wa habari ambapo makocha hao pia watajibu maswali ya waandishi wa habari utafanyika saa 6 kamili mchana kwenye ukumbi wa mikutano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Mambas iliwasili nchini jana (Februari 26 mwaka huu) ikiwa na wachezaji 19 na viongozi kumi. Wachezaji walioko kwenye kikosi hicho ni Francisco Muchanga, Clesio Bauque, Almiro Lobo, Man...

Allan Wa Skonga EATV Afunga Ndoa Mtangazaji wa East Africa TV Bw. Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA na Bi Haika Samwel wamefunga pingu za maisha mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam. Zainul Mzinge

Mtangazaji wa East Africa TV Bw. Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA na Bi Haika Samwel wamefunga pingu za maisha mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam. Zainul Mzinge

Dar Live Kuenzi Hip Hop Jumapili Hii

Mwanaharakati Renatus Mkinga Alazwa Muhimbili

Nimepokea taarifa kuwa Comrade Renatus Mkingah, a.k.a Mkinga Mkinga Mwanaharakati machachari na hodari, msemaji asiyeogopa, mtunza ushahidi asiyebabaika, Amelazwa Hosipitalini Muhimbili - kibasila 1st Floor Wodi namba 11 kitanda namba 25. Kidole gumba kimeoza kwa sababu ya diabetes [kisukari] kwa hiyo kinatakiwa kuwa amputated[kukatwa] Anahitaji msaada wa hali, mali na sala. Tafaadhalini wanabidii tumsaidie. tunaoweza tumtembelee. namba yake ni 0642644946 - waweza kumpigia ukimfariji au ukatumbukiza kitu kwenye hiyo tigo Pesa. Kind regards Sungusia

ENDELA KUMPIGIA KURA MSANII UMPENDAE

MPIGIE KURA FID-Q – BEST HIP HOP ARTIST 2011…!!

Mpigie kura mkali wa hiphop Fid-Q aweze kunyakua tunzo ya Best Male Hip-Hop Artist of the Year . Kumpigia kura Fid Q , Tuma neno P5 kwenda namba 15747 . email au barua pepe, ktma@innovexdc.com au tembelea tovuti www.killtimetz.com au www.teentz.com .

EVANS BUKUKU’S COMEDY CLUB @ NYUMBANI LOUNGE – TUE 28TH FEB…!!

EW ALBUM: KILOMETRE 10,000 BY DOGO RAMA – IPO MADUKANI SASA…!!

Ranking Hip-Hop Hotness: The Unthinkable Task?

by Seandra Sims   Share   View Comments             i   Rate This Share with Shortlink: Holding up a yardstick against Hip-Hop has always been monumentally difficult. One of the best things about Rap as the relatively youngest, significant musical genre to date has been its organic development into more diverse sounds, flavors, themes, and colors than we ever considered imaginable some 30+ years ago. Therefore, ranking greatness or hotness among rappers, producers, DJs, and the like is nearly impossible and, perhaps, annoyingly unfair. Especially to people like me, a certified Hip-Hop head who loves the culture and its many brilliant offerings. Last night (February 19), MTV hosted its sixth installment of the “Hottest MCs In the Game,” where they s...

Walioiba Samaki wa Magufuli wafungwa miaka 20 jela

Watuhumiwa wa kesi ya wizi wa samaki kinyume cha sheria eneo la Tanzania Hsui Chin Tai (kushoto) na  Zhao Hinguin wakitolewa Mahakama Kuu Tanzania Kitengo cha  Biashara,  Dar es Salaam leo, wakiwa chini ya ulinzi baada ya kutiwa hatiani na kufungwa jela miaka 20 au kulipa faini ya Sh.Bilioni 1 na Milioni. 20.  Wengine wameachiwa huru.Inatoka kwa mdau.

KISIWA CHA ZANZIBAR

Ghorofa za Michenzani ambazo zilijengwa miaka ya nyuma kidogo bado mpaka leo zinaonekana hivii.

MSEMO WA NCHI CHANGA NI KWAMBA ``NIPE NIKUPE``

Katika mkutano wa mawaziri wa Fedha wa mataifa tajiri kabisa, G-20, unaofanywa mjini Mexico City, Waziri wa Fedha wa Brazil, Guido Mantega, alisema nchi chipukizi zitatoa fedha zaidi kusaidia kupunguza deni la mataifa ya Ulaya. Lakini nao badala yake, wanataka kupewa madaraka zaidi katika Shirika la Fedha Duniani, yaani IMF. Waziri wa Fedha wa Brazil ameingia mkutanoni na ujumbe wazi : kwamba nchi chipukizi ziko tayari kuzisaidia nchi za Ulaya zinazotumia sarafu ya Euro, na ambazo zimekabwa na madeni, lakini msaada wenyewe utakuwa wa shuruti. Guido Mantega alisema nchi kama Mexico, India na Brazil zitasaidia, lakini kuna shuruti mbili. Kwanza Ulaya yenyewe izidishe akiba katika kasha au sanduku la fedha ili kujisaidia panapo dharura. Kuna hisia katika G-20 kuwa siyo lazima kwa nchi nyengine kulisaidia eneo la Euro, hadi Ulaya yenyewe inaweka akiba zaidi kujisaidia. Shuruti ya pili alisema Bwana Mantega ni kwamba mabadiliko yaliyoahidiwa, kuwa mataifa chipukizi nayo ya...

Afisa Wa Bunge Azikwa Morogoro

Viongozi wa dini wakijiandaa kwa ibada ya kumuaga aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Utawala na rasilimali Watu na Mshauri Mkuu wa mambo ya Utawala wa Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania marehemu Leo Theodore Mnyanga aliyefariki dunia tarehe 22 Feb. 2012 na kuzikwa katika makaburi ya Mlima Kola nje kidogo ya mji wa Morogoro jana tarehe 26 Feb. 2012. Picha zote na Prosper Minja -Bunge Spika Makinda akiweka udongo kaburini .

JK Aongoza Kamati Kuu Ikulu Leo

PICHA NA IKULU

IMETHIBITISHWA WAZI KUWA HUYU NDIYE MTU MFUPI KULIKO WOTE DUNIANI

Chandra Dangi akiwa ameshikilia yveti vyake viwili vya rekodi ya dunia kwa ufupi wake . Dangi akiwa katika meza ya chakula akijumika na jamaa zake  . Dangi akiwa kafunga mkanda ndani ya ndege kuelekea katika mji wa Kathmandu ambako ndipo alipokwenda kutambua  kuwa ndie yeye mtu mfupi kuliko wote duniani.

WAGONJWA 21 WENYE MARADHI YA MOYO WAPELEKWA INDIA KWA MATIBABU

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akiwa amembeba mtoto wa miezi saba, Sinani Makame, ambaye ni miongoni mwa wagonjwa 21 wa moyo waliotarajiwa kusafiri jana kwenda New Delhi, India kwa ajili ya upasuaji wa moyo. Kulia ni mama mzazi wa mtoto huyo, Shara Jaffar, Dk. Rajni Kanabar wa Hospitali ya Regency (wa pili kulia) na baadhi ya viongozi wa Lions Club Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida).

Wigo Tamasha La Pasaka Wapanuka

* Atosha Kissava naye kushiriki Na Mwandishi Wetu TAMASHA la Pasaka linalofanyika kila mwaka kwa kuandaliwa na Kampuni ya Msama Promotions ya Dar es Salaam, linazidi kupanuliwa wigo mwaka huu kwa kushirikisha wasanii nguli. Akizungumza na Jambo Leo, Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama alisema mwimbaji Atosha Kissava kutoka Mkoa wa Iringa amekuwa wa tatu kuthibitisha kushiriki tamasha hilo. "Kissava ambaye ana kundi lake la muziki wa injili, anakuwa mshiriki wa tatu kuthibitisha kushiriki tamasha la Pasaka baada ya Upendo Kilahiro na Upendo Nkone," alisema Msama. Tamasha hilo linatarajiwa kurindima Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Aprili 8 mwaka huu na pia litafanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Aprili 9 mwaka huu. Kissava hivi sasa anatamba na albamu ya Nainua Macho Yangu Juu yenye nyimbo za Alpha na Omega, Unaweza, Nifanane na Wewe, Nibariki na Mimi, Kwake Yesu, Njo...

Voda Watoa Zawadi

Mkuu wa Wilaya ya Moshi Alhaji Mussa Samizi (kulia) akikabidhi zawadi ya Simu, fedha Tsh 80,000 na Mordem iliyo na kifurushi cha kuanzia 20,000/= kwa mshindi wa pili wa mbio za Vodacom Fun Run, Brazil Boay katika mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2012 zilizofanyika jana mjini Moshi. Katikati ni Mkuu wa Udhamini wa Vodacom, George Rwehumbiza. Mkuu wa Wilaya ya Moshi Alhaji Mussa Samizi (kulia) akikabidhi zawadi ya Simu, fedha Tsh 80,000 na Mordem iliyo na kifurushi cha kuanzia 20,000/= kwa mshindi wa tatu upande wa wanawake Natalia Elisante, wa mbio za Vodacom Fun Run, Brazil Boay katika mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2012 zilizofanyika jana mjini Moshi. Katikati ni Mkuu wa Udhamini wa Vodacom, George Rwehumbiza. Mkuu wa Wilaya ya Moshi Alhaji Mussa Samizi (kulia) akikabidhi zawadi ya Simu, fedha Tsh 100,000 na Mordem iliyo na kifurushi cha kuanzia 20,000/= kwa mshindi wa kwanza upande wa wanawake Jackline Sakilu, wa mbio za Vodacom Fun Run, Brazil Boay katika mashindano ya ...

JENNIFER MGENDI NA UJIO MPYA WA INJILI

Salaam nyingi ziwafikie wapendwa.Naamini kwa neema ya Mungu, mmeuona mwaka 2012. Mimi pia, namshukuru Mungu. Nachukua fursa hii kuwajulisha nilipo na ninapokwenda kwa mwaka huu na naomba kama kawa muwafikishie watanzania na wasomaji wenu kwa ujumla mambo haya. Natanguliza shukurani zangu za dhati. DHAHABU. Hii ni albamu yenye mkusanyiko wa baadhi ya nyimbo zangu za zamani kama vile Nini?, Nimrudishie nini Bwana, Nitafika lini?, Mbona washangaa njiani, Ulinipa sauti na nyinginezo ambazo zilitamba miaka ya 2001 na kurudi nyuma hadi mwaka 1995. Albamu hii tayari ipo madukani katika mfumo wa audio cd yaani ni ya kusikiliza. Maandalizi ya video hii yanafanyika na panapo majajliwa, mwezi Agosti itakuwa imekamilika. TEKE LA MAMA Filamu hii ipo madukani na imewashirikisha watu mbalimbali kama Bahati Bukuku, Christina Matai, Senga, Lucy Komba na Godliver a.k.a Bibi Esta. Sio filamu ya kukosa kuangalia na uzuri wake unaweza kuiangalia ukiwa umetulia na familia yako bi...

MIAKA 50 YA CHAMA TAWALA CHA BOTSWANA - BOTSWAN DEMOCRATIC PARTY (BDP) MJINI GABORONE LEO

Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Bw Kgalema Nontlanthe, na Marais Wastaafu wa Botswana Sir Ketumile Masire ( wa pili shoto) na Bw Festus Mogae, wakijiandaa kukata keki ya sherehe hizo katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Botswana leo February 25, 2012.  Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, Makamuw a rais wa Afrika Kusini Bw Kgalema Nontlanthe, na Marais Wastaafu wa Botswana Sir Ketumile Masire ( wa pili shoto) na Bw Festus Mogae, wakiwa chini ya mti wa Marula ambako miaka 50 ilopita BDP ilizaliwa. Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, waki...