Watu walihudhuria kwenye mazishi wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu Ndikumana aliyefariki siku ya jana.
watu wakiwa na majonzi(picha na bongo 5)
Umati mkubwa watu wamejitokeza katika msikiti wa Qaddafi huko Nyamirambo Rwanda kwaajili ya kumuaga mwanasoka mkongwe wa nchi hivyo Hamad Ndikumana ambaye alifariki dunia siku ya jana.
Inasemekana kuwa Marehemu alikuwa na mtoto mmoja aliyezaa na aliyekuwa mke wake muigizaji wa filamu Bongo Movie nchini Tanzania, Irene Uwoya
Comments