Skip to main content

Mh. JPM aongoza kikao cha kamati kuu ya ccm




Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi 
(CCM) Rais John Pombe Magufuli, 
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) 
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa 
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed 
Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM 
(Bara) Philip Mangula na Katibu Mkuu
 wa CCM  Abdulrahman Kinana na wajumbe 
wa Kamati Kuu ya CCM na sekretarieti 
yake baada ya kikao jijini Dar es salaam.



Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John 
Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti 
wa CCM (Zanzibar) na Rais wa 
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la 
Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein 
na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu 
Abdulrahman Kinana wakiongea
baada ya kikao cha Kamati Kuu ya 
CCM jijini Dar es salaam.

Picha na IKULU

Comments