Skip to main content

Soma hii ..... wagombea wawili wa udiwani wajitoa


Na mwandishi wetu
WAGOMBEA wawili wa udiwani, Lunda Rashid Ulaya(CHADEMA) kata ya Milongodi wilayani Tandahimba mkoani Mtwara  na Juma Mohamed Siyame wa  Chama cha ACT Wazalendo kutoka kata ya Ndalambo katika Halmashauri ya Momba. wamejiondoa katika kinyanganyiro hicho
Watendaji wa wakuu wa NEC

Taarifa hiyo inasema
"Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeridhia kujitoa kwa wagombea wawili wa Udiwani katika Kata ya Milongodi, Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara na Kata ya Ndalambo katika Halmashauri ya Wilaya Momba  mkoani  Songwe.
Wagombea  waliojitoa ni Ndugu Lunda Rashid Ulaya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka katika kata ya Milongodi Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba na Juma Mohamed Siyame wa  Chama cha ACT Wazalendo kutoka kata ya Ndalambo katika Halmashauri ya Momba.

Katika kikao cha chake kilichofanyika tarehe 14/11/2017 jijini Dar es Salaam, Tume imeridhia  uamuzi wa kujiondoa kwa wagombea hao wawili katika nafasi ya udiwani, baada ya kukamilisha taratibu zote za kujitoa.

Miongoni mwa taratibu hizo ni mgombea kuandika barua kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo au msimamizi msaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata kumjulisha uamuzi wa kujitoa .

Katika barua yake kwenda kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata, mgombea wa kata ya Milongodi Ndugu Lunda Rashid Ulaya katika barua yake ya tarehe 4/11/2017 hakueleza sababu zilizomfanya ajitoe kwenye kinyang’anyiro hicho cha kugombea udiwani.

Kwa upande wake mgombea wa ACT WAZALENDO Ndugu Juma Mohamed Siyame, katika barua yake ya tarehe 10/11/2017 alieleza sababu za kujitoa  ni kuwa na majukumu ya kifamilia na hivyo asingeweza kumudu kuwatumikia wananchi wa Ndalambo katika shughuli mbalimbali za maendeleo.

Kutokana na kujiondoa kwa wagombea hao, idadi ya wagombea waliobaki katika kinyang’anyiro hicho sasa ni 151. Uchaguzi mdogo wa madiwani unafanyika katika kata 43 ambazo ziko katika Halmashauri 36   kwenye mikoa 19   Novemba 26, 2017.



Kailima, R.K
MKURUGENZI WA UCHAGUZI

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.