Msanii na mwanamitindo wa muda mrefu, DJ Waiz
mbali na kuachia kazi zake kama ‘Shobo Robo’ huku
akichapamwendo wa kasi katika kutafuta manufaa ya muziki
wake amsema kuwa yupo katika hatua za mwisho kuamishia
maskani ya shughuli zake Dar es Salaam akitokea Zanzibar.
Moja ya nyimbo zake ni pamoja na video ya wimbo wake
‘Shobo Robo’ ambayo alioshirikiana na Baby Jay na Kijukuu.
DJ Waiz amesema mbali na kuwa alijikita visiwani humo
kwa muda mrefu kutokana na majukumu ya anayojipangia sasa
imebadilisha taswira na anataka kutia jijini hapa.
“Mmuziki umekuwa katika hatua zake nyingi za maendeleo nchini
hadi sasa kumekuwa kukuongezeka badiliko la aina yake
katika muziki wa Bongofalava” Amesema DJ Waiz.
Video ya wimbo huo imetayarishwa na Director Pablo na
katika video hiyo wanamitindo mbali mbali walishirikishwa
akiwemo Chidy Adore na wengine wengi.

Comments