: Mwenyekiti wa Baraza la Wadau wa Barabara nchini
Mhandisi Abdul Awadh (kushoto) akitoa salamu za Baraza hilo kwa Mgeni Rasmi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph
Nyamhanga (katikati) wakati wa mkutano
wa 17 wa Baraza hilo mapema hii leo Jijini Dar es Salaam, kulia ni Mshauri wa
Baraza hilo Hamza Kassongo.
Pichani:Mgeni Rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga (katikati) akizungumza na wadau wa Baraza la Barabara nchini
(hawapo pichani) wakati wa mkutano wa 17 wa baraza hilo mapema hii leo Jijini
Dar es Salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa baraza hilo Mhandisi Abdul Awadh na
kulia ni Mshauri wa baraza hilo Hamza Kassongo.
Baadhi ya wadau wa Baraza la Barabara nchini
wakimsikiliza Mgeni Rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa 17
wa baraza hilo mapema hii leo Jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga (mwenye tai nyekundu) akipata
maelekezo toka kwa wadau wa Baraza la Barabara nchini, juu ya huduma
wanazozitoa katika sekta ya barabara wakati wa mkutano wa 17 wa baraza hilo
mapema hii leo Jijini Dar es Salaam.
Comments