Na mwandishi wetu, Rwanda
KOCHA msaidizi wa Rayon Sports ya Rwanda na aliyekuwa wa msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya, mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Rwanda na kocha msaidizi wa Rayon Sport, Ndikumana Hamad Katauti (39) amefariki dunia.
Ndikumana Hamad Katauti akitia saini wakati wa ndoa yao na Irene Uwoya.
Taarifa kutoka Rwanda zinasema Ndikumana Hamad ''Katauti'' ambaye ni mume wa zamani na Baba wa mtoto wa muigizaji maarufu nchini, Irene Uwoya amefariki dunia usiku wa kuamukia leo bada ya kuugua Ghafla.
Kataut ni beki wa zamani wa Rayon Sports ya Rwanda pia amewahi kuchezea timu ya soka ya Stand United ya Shinyanga wakati akitokea Cyprus.
Taarifa kutoka Kigali, Rwanda zinaeleza kwamba alikuwepo mazoezini jana asubuhi.....na hadi anapoteza maisha alikuwa ni kocha msaidizi wa kikosi cha Rayon Sports ya Rwanda.
Mara ya mwisho alikuja nchini mwaka 2017 wakati wa Simba Day Agosti 8, akitua nchini Agosti 7 akiwa na kikosi cha Rayon ambacho kilicheza na Simba na kupoteza kwa bao 1-0.

- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
Comments