Mkuu wa wilaya ya Longido, Bw Frank Mwaisumbe akikata utepe kuzindua mnara wa kwanza wa simu za mkononi katika wilayani Longido mkoani Manyara uliozinduliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania Mwishoni mwa wiki iliyopita. Mnara huu utasaidia mawasiliano na shuuli za kiuchuni kwani eneo hilo ni eneo mahususi kwa uchimbaji wa madini ya Ruby mkoani hapo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kanda ya Kazikazini wa kampuni ya Vodacom Tanzania Bi Brigita Stephen (kushoto) na wanakijiji wa Longido.
Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Longido, Mh Frank Mwaisumbe akizungumza na wachimbaji wa madini ya Ruby na wanakijiji wa Kata ya Mundarara Wilaya ya Longido juu urahisi wa mawasilioano haswa kwa wafanya biashara wa madini ya Ruby baada ya uzinduzi wa mnara wa kwanza wa simu kijijini hapo uliozinduliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki iliyopita.

Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Longido, Mh Frank Mwaisumbe (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Kanda ya Kazikazini wa kampuni ya Vodacom Tanzania Bi Brigita Stephen (kushoto) wakipewa maelezo na Mkandarasi wa kampuni ya Vodacom Tanzania Bw. Isaac Peter Olesingo juu ya uwezeshaji wa mawasiliano utakaosaidia shuhuli za kiuchumi kijijini hapo ambapo shuhuli za uchimbaji wa madini ya Ruby zinafanyika.
Comments