Vodacom Tanzania Foundation ya toa mafunzo kwa wasi chana kuhusu elimu ya afya ya uzazi mkoani Lindi
Hiinisehemu ya mradi endelevu uitwao“Hakunawasichoweza”unaofanyakazi na Vodacom Tanzania Foundation wakishirikia na na T-MARC tangumwaka 2012 wakilenga kuondoa vikwazo vinavyo wafanya wasichana waliopevuka kushindwa kufikia malengoyao ya kielimu kunakosababishwa na changamoto mbalimbali wakati wa hedhi pamojana afya ya uzazi kupitia vipindi vya mafunzo mbalimbali na ujumbesimu wamaandishi pamoja na kuwapatia tauloza kike/ sodoa mbayo ni moja ya changamoto wanazokutananazo.
Ripoti iliyotolewa na TASAWANET mwaka 2015 inaonyesha kwamba asilimia 75 yawasichana
mashuleni wamesema kwamba hedhi inaathiri kufaulu kwao katika masomo.
Pia, UNESCOimekadiria kwamba ndani ya mwaka mmoja,asilimia 20 yawanafunzi wa kike
hawahudhurii mashuleni.
Akizungumzakatikahaflahiyo, Mkuuwakitengo cha mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline
Materu alisema “Vodacom Foundation imejikita katika mipango ambayo inasaidia akinamama
na watoto nchini,ilikuboresha afyazao, elimu,naujasiriamali.
Tunaipongeza sana serikali kwa kufutakodi za sodo. Sisi kama Vodacom Foundation tutaendelea
kusaidia shughuli zozote ambazo zinalenga kutatua changamoto zinazowafanya wasichana washindwe kupata elimu bora”.
Hakuna wasichoweza imelengakuboresha mahudhurio na ufaulu wawasichana kwa kuwapatia
elimu juuya afya ya uzazi,elimu ya hedhi, jinsia,vile vileumuhimu wakuchelewa kuanzakuji
husisha na ngono.
Kwa miakasita mpango huu umefikia wasichana zaidi ya elfumoja na Zaidi ya taulo za kike
10,000 ziligawiwa.
“Kupitia msaada wa Vodacom Foundation, tumeona maendeleo katika mahudhurio naufaulu wa wasichana ambao walihudhuria mafunzo haya ukilinganisha na ambao hawajahudhuria.
Wasichana hawa wananafasi ya kufikia malengo yao na tumedhamiria kuwafikia wasichana wengi zaidi hasa katika miji iliyo jificha na yenye mila na fikra potofu juu ya hedhi zinazo chochea changamoto hizi” alisema Hamid Al-Alawy Mratibu wa Mradi, T-MARC Tanzania.
Comments