Pichani ni Mussa Kitoi, Mkuu wa wateja binafsi wa Benki ya Stanbic akizindua huduma yao mpya ya Uhuru Banking isiyo na ada ya usimamizi leo katika branchi yao ya Center jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Grace Hayuma, Kiongozi wa huduma kwa wateja na Desideria Mwegelo, Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya Stanbic.
Kushoto ni Grace Hayuma, Kiongozi wa huduma kwa wateja na Desideria Mwegelo, Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya Stanbic.
Benki ya Stanbic imezindua huduma
mpya na yakidigitali iitwayo “Uhuru Banking”. Jina ‘Uhuru’ likiwakilisha ofa za
kipekee, ikiwemo;kutokuwa na makato y akilamwezi katika akaunti, kadiya VISA ya
daraja la dhahabu‘Gold visa debit card’
inayotumika hapa nchini na kimataifa.
Wateja wa Uhuru Banking wanaweza pia kufanya miamala mbalimbali na kujihudumia wenyewe
kupitia simu zao za mkononi.
Pichani ni Mkuu wa kitengo cha wateja binafsi na kibiashara wa benki ya Stanbic,Brian Ndadzungira (kati) akizungumza na wafanyakazi na wateja wa benki hiyo kuhusu huduma mpya ya Uhuru Banking isiyo na ada ya usimamizi leo katika branchi yao ya Center jijini Dar es salaam.
Benki ya Stanbic iliamua kuboresha huduma hiyo ambayo mwanzo iligawanyika
katika akaunti za daraja tatu tofauti,yaani, Silva, DhahabunaBluu (Silver, Goldna
Blue).
Uhuru Banking inaunganisha madaraja
ya akaunti zote na kuwawezesha wateja kuwa na uhuru wa kufanya miamala yao kiurahisi
kupitia mfumo wa kidigitali.
“Uhuru banking ni matokeo ya
maoni ya wateja kuhusi na na huduma na bidhaazetu.
Watejawetunikiini cha kila jambo tunalo lifanya hivyo tumejikita katika kuhakikisha
wanaendelea kifedha” alisema Mkuu wa kitengo cha wateja binafsi na kibiashara wa benki ya
Stanbic, Brian Ndadzungira.
Watanzania
wanahitaji huduma ambazo zina endana na maisha ya sasa. Kupitia Uhuru banking
wateja wanaweza kupata huduma mahususi za kifedha zinazo endana na mahitaji yao.
“Pendekezo
hili limelenga kuleta maendeleo kwa watanzania na kuwasaidia kufanyikisha malengo
yao ya kifedha” aliongeza Brian.
Kumekuwa
na mabadiliko ndani ya sekta ya benkinchini
Tanzania na kutokana na uzoefu wa zaidi ya miaka ishirini nchini Tanzania, Stanbic
Bank inaendelea kutoa huduma bora na mahususi zinazo zingatia matakwa ya wateja
wao.
Kwa wahariri
Benki ya Stanbic Tanzania ni
sehemu ya Standard Bank Group, benki kubwa zaidi ya Afrika kwa mali, iliyo na
makao yake makuu huko Johannesburg, Afrika Kusini na iliyoorodheshwa kwenye
soko la hisa la Johannesburg, nambaro SBK, pamoja na soko la hisa la Namibia,
nambari ya SNB.
Benki ya Standard ina historia
ya miaka 155 nchini Afrika Kusini na kuanza kufanya mikataba mingine nje ya
kusini mwa Afrika mwanzoni mwa miaka ya 1990.
Stanbic Bank Tanzania hutoa
huduma za kifedha, ushiriki na uwekezaji wake hutumika kwa mahitaji mbalimbali
ya benki, fedha, biashara, uwekezaji, usimamizi wa hatari na huduma za ushauri.
Huduma za kampuni na uwekezaji hutoa aina mbalimbali za bidhaa na huduma
zinazohusiana na: uwekezaji katika benki; masoko ya kimataifa; bidhaa na huduma
za kimataifa.
Benki ya Stanbic na huduma
zake za makampuni na uwekezaji zinazingatia sekta ambazo zinafaa zaidi kwa
masoko yanayojitokeza. Ina msaada mkubwa katika madini na chuma; mafuta, gesi
mbadala; umeme na miundombinu; biashara ya kilimo; mawasiliano ya simu, vyombo
vya habari; na taasisi za fedha.
Benki ya Stanbic Tanzania
kitengo cha wateja binafsi na wa biashara, kinatoa huduma za kibenki na huduma
nyingine za kifedha kwa watu binafsi, na kampuni ndogo na za kati. Kitengo hiki
kinatumikia haja zinazo ongezeka kati ya biashara ndogondogo na wateja binafsi
kwa bidhaa za benki ambazo zinaweza kukidhi matarajio yao na kukuza utajiri
wao.
Kwa
taarifazaiditafadhaliwasiliana;
DesideriaMwegelo
Head - Marketing and Corporate Affairs
E-mail: MwegeloD@stanbic.com
Tel: +255 22 2666343
Comments