Skip to main content

Salim Bakar :Waandishi wa habari fichueni wasio lipa kodi


Afisa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi TRA mkaoni Tanga Salim Bakar akizungumza katika semina hiyo kulia ni Meneja wa TRA Mkoani Tanga Masawa Masatu
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoani Tanga (TANGA PRESS CLUB) Hassani Hashim akizungumza katika semina hiyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa.
Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa akizungumza wakati akifungua semina ya kodi kwa waandishi wa Habari mkoani Tanga iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga, kushoto ni Meneja wa TRA mkoani Tanga Masawa Masatu.
Sehemu ya waandishi wakiwa katika semina.
Meneja wa TRA mkoani Tanga Masawa Masatu akizungumza katika semina hiyo

Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa amewataka waandishi wa habari mkoani Tanga kusaidia kuwafichua wafanyabiashara wanaopitisha bidhaa kwa njia ya magendo ili waweze kuchukuliwa hatua na kukomesha vitendo vya namna hiyo kwenye jamii badala ya kuendelea kuzikalia.

Mwalipwa aliyasema hayo leo wakati akifungua semina ya kodi kwa waandishi wa habari mkoani Tanga ambapo alisema waandishi wa habari wana mchango mkubwa sana katika suala la kuhakikisha wanapambana kwenye vita ya biashara kwa wanakuwa mstari wa mbele katika kuwatoa taarifa kwa mamlaka husika kuwepo kwa vitendo vya namna hiyo kwenye jamii.

“Ndugu zangu waandishi wa habari wasidie kuwafichua wafanya biashara wanaopitisha biashara kwa njia ya magendo saidieni kufuichukua hili kwa kutoa taarifa kwa yoyoye anayehusika na uingizaji bidhaa haramu za magendo nawaombeni acheni kuzikalia toeni taarifa kwa mamlaka husika hatua za kisheria zichukuliwe”,alisema Mwilapwa.

Aidha alisema kwamba kwa mwanahabari ambaye atakakuwa ameikalia habari hiyo atakuwa ameitendea dhambi kubwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sababu atakuwa hajatusaidia katika mapambano ya kuhakikisha tunakomesha tabia hiyo kwenye jamii.

“Lakini pia niwaambie kwamba watu ambao ninaamini wakiingia kwenye vita hii kushirikiana na vyombo mbalimbali watasaidia sana itakuwa wanahabari naombeni sana mshirikiane na serikali kupeana taarifa na kuelimishana lakini pia mtembee na hisia ya serikali kuchukia vitendo hivyo kwani madhara yake ni makubwa kwani vinaikosesha serikali mapato",alisema Mwilapwa

“Pia licha ya mapato lakini Taifa linakosa kitu muhimu ambacho kingekuwa cha manufaa kwa maendeleo yao…kuingiza bidhaa inayopita kwenye milango isiyokuwa rasmi inawezekana bidhaa iliyopita na wakati, feki, lakini pia ni bidhaa duni",alisema.

Awali akizungumza kwenye semina hyo Meneja wa TRA Mkoani Tanga Masawa Masatu alisema kwamba wameamua kuandaa mafunzo hayo kwa waandishi wa habari ili watambue magendo ni nini na sheria inayosimamia bidhaa zinazoingia nchini inavyoeleza ili watakapotoka wawe mabalozi wazuri kuwaelimisha watu kupitia kwenye milango sahihi kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi.

“Siku ya leo tumeandaa mafunzo hayo kwa waandishi wa habari mojawapo ni juu ya masuala ya vita dhidi ya magendo kama TRA tunatambua changamoto ya magendo inayoikabili mkoa wetu na Mkuu wa mkoa ameunda kamati maalumu ya mkoa ambayo itakuwa na jukumu la kukomesha vitendo vya magendo kwa mkoa wetu wa Tanga”,alisema.

“Lakini namshukuru RC kwa kusimamia suala hilo naamini kwamba litakapotekelezwa kwa ukamilifu suala la magendo litapungua kwa asilimia kubwa sana”,alisema Meneja huyo.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. Sławomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...