Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA) Bw. Charles Kichere azungumza na Balozi mpya wa Norway nchini, Bi. Elizabeth Jacobsen
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw.
Charles Kichere (kushoto) akizungumza na Balozi mpya wa Norway nchini, Bi.
Elizabeth Jacobsen pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiwemo Maafisa toka TRA
katika ofisi ya Kamishna Mkuu wa TRA Jijini Dar es Salaam.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw.
Charles Kichere (kulia) akizungumza na Balozi mpya wa Norway nchini, Bi.
Elizabeth Jacobsen aliyemtembelea Kamishna huyo ofisini kwake Jijini Dar es
Salaam.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw.
Charles Kichere (kushoto) akiagana na Balozi mpya wa Norway nchini, Bi.
Elizabeth Jacobsen mara baada ya kufanya naye mazungumzo.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw.
Charles Kichere (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa
Norway nchini, Bi. Elizabeth Jacobsen (aliyesimama kushoto kwake). Pembeni ni
ujumbe aliofuatana nao Balozi huyo pamoja na Maafisa wa TRA.
Comments