Skip to main content

Vodacom Tanzania Foundation imekuwa mstari wa mbele kuchangia vifaatiba katika vituo vya afya nahospitali hapa nchini ilikuokoa maisha ya watoto njiti.



 
Pichani ni  Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa kampuni ya Vodacom Plc Tanzania Bi Jacquiline Materu akikabidhi mashine na vifaa vya hospitali ya kambi ya Nyarugusu kwa Katibu tawala wa Wilaya ya Kasulu, Titus Luguha katika kambi ya Nyarugusu, mkoani Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. Vifaa hivyo vyenye thamani ya TZS milioni 25 vimetolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kwa hospitali hiyo ili kuongeza juhudi za kuhakikisha watoto wanaozaliwa njiti katika kambi hiyo wanaishi. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa taasisi ya Doris Mollel, Bi Doris Mollel na wa nne kushoto ni Mkuu wa kambi hiyo Bw. Francis Chokola.


Pichani ni  Katibu tawala wa Wilaya ya Kasulu, Titus Luguha, akimfunika moja kati ya wakimbizi waliojifungua watoto njiti katika kambi ya Nyarugusu misaada iliyotolewa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kambi hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita. Nyuma yake ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi Jacquiline Materu, Mkurugenzi wa taasisi ya Doris Mollel, Bi Doris Mollel na wageni na wauguzi wa hospitali hiyo.


“Watoto njiti wananafasi kubwa ya kukuana kuwana afya nzuri bila ulemavu endapo watapata msaada wa vifaa nausimamizi wa afya kuzingatiwa na ndio maana sisikama  Vodacom Tanzania Foundation tunafura   hasa na kuwa sehemu ya wanaochangia kuhakikisha watotonjiti nchini wanaishi”alisema Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mahusiano Bi  Jacquiline Materu huku akiongeza kwamba Vodacom Tanzania Foundation imejikita katika kuboresha huduma za afya na elimu kwa Wanawake pamoja na watoto nchini Tanzania.

 Akipokea vifaa hivyo kwaniaba ya serikali mwakilishi wa Katibu mkuu wizara ya Afya, MaendeleoyaJamii,Jinsia, Wazee na Watoto (anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii, Jinsia, WazeenaWatoto) Dr John Jingu, Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu Titus Mguha alizishukuru taasisi za Vodacom Tanzania Foundation  na Doris Mollel kwakuunga juhudi za serikali za kuokoa maisha ya watoto ..
 
 Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi Jacquiline Materu akikabidhi misaada kutoka Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa Bi Beatrice, moja kati ya wakimbizi katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation imechangia vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 25 kwa hospitali hiyo ili kuongeza juhudi za



“Msaada huu umekuja ndani ya muda muafaka wakati ambapo serikali imezindua kampeni ya Jiongeze Tuwavushe salama kuhamasisha watu na Taasisi mbalimbali kupigania kupunguza vifo vya akina mama na watoto. Ninafuraha kubwa kuona muungano huu wa Vodacom Tanzania Foundation na Doris MollelFoundation ukifanyakazi kuboresha afya ya watoto na mama katika kambi hii,”alisema.


Kwa upande wake,Mratibu wa afya katika kambi ya Nyarugusu Dr Athumani Jumaa lisema hospitali hiyo imekuwa na changamoto ya kusaidia maisha ya watoto njiti wanaozaliwa hapo hospitalini.

“Tumefanikiwa kukarabati wodi ya watoto njiti lakini tulikuwa na changamoto ya vifaa hivyo tunashukurusana kwa mchango huu wa vifaa vya kuokoa maisha ya watoto njiti wanao zaliwa hospitalini hapa na tunaahidi uangalizi wakaribu."

Vifaa vilivyotolewa ni pamojana vifaa vya oksijeni (Oxygen concentrator) ambavyo vitasaidia
watoto njiti kupumua, thermometers 10, 4 weighing scales for infants, 40 branded bed sheets,
baby warmer, 3 suction machines, ambu bag with facemasks for infants, 1000 feeding tubes,
phototherapy machine, navitanda vitatu vya watoto.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.