Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kufungua Kituo cha Polisi cha
Kiluvya wilayani Ubungo Mei 24, 2018. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhadisi, Hamad masauni na wanne kukhoto ni
Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Siro, Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa a
Dar es salaam na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva. (Picha na
Ofiosi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon
Siro baada ya kufungua Kituo cha Polisi cha Mbweni Wilayani Kawe, Mei
24, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments