Wizara hiyo ya Afya Maendeleao ya Jamii
Jinsia Wazee na watoto Sihaba Nkinga katika uzinduzi wa ripoti ya
Jinsia Wazee na watoto Sihaba Nkinga katika uzinduzi wa ripoti ya
Taifa ya watoto.
WIZARA ya Afya Maendeleao ya Jamii Jinsia Wazee na watoto imesema watoto
wanaoishi na kufanya kazi za mitaani nchini ni 6,393 ambapo Idadi ya
wavulana ni asilimia 76 na wasichana ni asilimia 24 .
Hayo yamesemwa na Katibu wa Wizara hiyo ya Afya Maendeleao ya Jamii
Jinsia Wazee na watoto Sihaba Nkinga katika uzinduzi wa ripoti ya Railway
Children ambapo alisema kuwa ripoti hiyo nitafiti iliyofanywa kwa mikoa
sita ambayo ni Dar es Salaam ,Mwanza ,Mbeya ,Dodoma pamoja na mikoa mingine
ya Aarusha na Iringa.
Alisema ripoti hiyo pia inatoa utafiti wa watoto wenye umri kati ya
miaka 0-18 ambao wanaishi na kufanya kazi mitaani katika miji hiyo sita
nchini hapa.

"Sababu ya kwanza inayosababisha ongezeko la kuwepo wa toto wa mtaani
ni umaskini,ukatili huku ikichangiwa na sababu nyingine ya kuwepo kwa
migogoro ya kifamilia,"alisema Inkinga .
Inkinga alisema kuwa anatao wito kwa serikali pamoja na wadau wengine kuingia
mitaani kuhakikisha kwamba watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani wanaunganishwa
katika mifumo ya ulinzi wa watoto katika ngazi zote za kitaifa naza Wilaya.
Aidha kwa upande wa Mkurugenzi wa Railway Children Africa Peter Kent alisema
katika mikoa yote sita walioyo ifanyia tafiti na kubaini kuapa ripoti,
walibaini kuwa sababu ya watoto wengi walio hojiwa kwa nini wanaishi
mitaani walibaini kuwa kuwa chanzi ni umaskini na ukatili na migogo
ya kifamilia.
WIZARA ya Afya Maendeleao ya Jamii Jinsia Wazee na watoto pamoja
na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, kwa msaada wa
kiufundi kutoka Shirika la Railway Children Africa,ilifanya shughuli za
kuhesabu watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani kwa muda mfupi katika
miji hiyo sita.
Katibu huyo aliongeza kuwa ripoti hiyo ni matokeo ya utaratibu maalum wa
kupata idadi rasmi ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani,
ambapo ilibainika kuwa watoto wenye umri mkubwa walikuwa hawajihusishi
na shughuli ya kuomba omba,bali walikuwa wakifanya shughuli fulani
kama vile biashara zinazohamishika .
Utafiti pia uliweza kugundua kwamba zaidi ya asilimia 50 ya watoto wanaoishi
na kufanya kazi mitaani ni wenye umri wa miaka zaidi ya miaka 15,zaidi yao
zoezi hilo lilibaini vijana 4,202 wenye umri wa miaka 19 hadi 25 wao wanaishi na
kufanya kazi mitaani.
Comments