Mamlaka ya Usimamizi wa vyombo vya usafiri vya Majini na Nchi
kavu (Sumatra )watoa semina yenye malengo ya kutoka elimu ya
namna ya uendeshaji wa sekta ya usafiri.
Akizungumza Dar es Salaam Mkurugenzi wa udhibiti na Usalama
Barabarani Johansen Kahatano alisema wamiliki na madereva
wengi wamekuwa wakikiuka wajibu wao hivyo semina hiyo ina malengo
ya kutoka elimu ya namna ya uendeshaji wa sekta ya usafiri kwa
mujibu wa sheria.

Alisema semina hiyo ya Wadau wa Usafirishaji wakiwemo Wamiliki na
Madereva,imeendeshwa katika mikoa tofauti ya Dar es
salaam,Mbeya ,Arusha na Mwanza baada ya Sumatra kubaini
kuwa bado kuna chngamoto kubwa katika mifumo ya usafirishaji
hususani usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi.
"Kanuni za leseni za Usafirishaji magari ya kubeba mizigo zimetengenezwa
chini ya vifungu vya sheria nchini ambapo wamiliki na madereva
wanatakiwa kivifuta ambapo wengi wamekuwa wakikiuka,"alisema Kahatano huku
akisisi tiza wadau wa usafiri kufuata sheria zilizotungwa nchini.
Katika semina hiyo Wadau wa usafirishaji wa Abiria na Mizigo wameiomba
serikali kupunguza tozo mbalimbali za kodi ambazo zimekuwa changamoto
kubwa katika uendeshaji wa sekta hiyo.
Semina iliyoandaliwa Sumatra ,wadau hao wameiomba serikali
kuwapunguzia kodi mbalimbali ,wakitolea mfano kodi ya mafuta
kwa kiwango kikubwa,hali ambayo inawafanya kushindwa kumudu
gharama za uendeshaji wa Huduma za usafirishaji..
Mmoja wa Wadau hao Chuki Shaabani ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha
Wamiliaki wa Malori Wadogo na Wakati Nchini (TAMSTOA )amewambia
wanahabari kuwa changamoto kubwa zinazowakumba ni ,uharibifu wa
miundo mbinu ya barabara, pamoja na sheria mbalimbali
za usafirishaji .
Kwa upande wake Mhadhiri Mstaafu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji
(NIT) Thomas Mwaipopo ambaye alikuwa mwenyekiti wa semina hiyo,
amesema kwamba baadhi ya wamiliki wa vyombo vya usafiri wamekuwa
wakiajili madereva ambao hawana taaluma husika, hali ambayo
inachangia kushindwa kubaini usalama wa magari wanapokuwa kazini
na kusababisha ajari mbalimbali za barabarani.
Comments