Wadauwamichezo kata ya somangila wameamuakujitolea vifaa
mbalimbali vya michezo kwa wanafunzi wa shule ya msingi Gezaulole
hapo jana katika kuazimisha siku ya wafanyakazi nchini.
Wadau hao walikabidhi vifaa hivyo mbele ya mwenyekiti wa
bodi ya shule ndugu Peter M.Maganga ambaye aliongozana na
mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mbwamaji ndugu Yohana
Luhemeja pamojana baadhi ya wajumbe wa bodi hiyo akiwamo mwa
limu mkuu wa shule hiyo Bi Mariam Kinande pamojana
wananchi waishio jilani nashu lehiyo.
Wengine walioshuhudia makabidhiano hayoni walimunawanafunzi
washule hiyo, pia wanafunzi wazamaniwaliosoma katika shule
hiyo miaka yakuanzia mwaka 1980 nakuendelea.
Akizungumza baada ya kupokea vifaa hivyo ambavyo vilijumusha
seti ya jezi za mpira wa miguu kwawavulana, mipira 2, kadi
za refarii, filimbi na beji ya nahodha, mwalimumkuu wa shule
hiyo aliwashukuru wadau hao kwamoyo wa upendo na ukarimu
walio uonyesha.
"Nashukuru kupokea vifaa hivyo ambavyo vimejumui sha
seti ya jezi za mpira wa miguu kwawavulana, mipira 2, kadi
za refarii, kwa msaada huu japo kwenu mnauona kidogo ila
kwangumimi nikiku bwasana”.Maganga
Amesema amewashukuru wadau hao kwa ushirikiano waliounyesha katika kutatua
moja ya changamoto zilizokua zinaikabili shule hiyo licha ya kufanya
vizuri katika michezo kiwilaya hadi kupelekea timu ya wasichana
ya netiboli kwa wilaya ya kuundwa na wachezaji kutoka
shule hiyo pekee.
Hata hi vyo mwenyekiti huyo aliomba wadau hao kusaidia
kutatua changamoto zingine zinazoikabili shule hiyo hasa
Ukosefu wa umeme kwanyumba za walimu na madarasa .
"Tunawaomba wadau pia msaidie upatikanaji wa umeme ambao
utagharimu kiasi cha shilingi milioni tatu ambapo mpa
ka sasatumekusanya nusu ya pesa hizo”.
Akizungumza kwa niaba ya wenzake,mmoja wa wadau hao Pius
Ngwasho amewasisitiza umuhimu wa kusaidia maendeleo ya michezo
kuanzia chini kwani michezo niajira na huleta furaha na afya
njema kwavijana.
"Ninajisikiafaraja kusaidia vifaa hivyo kwa wanafunzi hawa kwami
chezo hujenga mwili na kuongeza uwezo wa kufikiri hivyo ufaulu pi
a utaongezeka.
Licha ya kusaidia vifaa hivyo wadau hao pia walitoa ahadi ya kusaidi
Comments