Skip to main content

SERIKALI YAWAHAMASIHA WANANCHI KUWEKEZA KATIKA VIWANDA VYA KUSINDIKA MAZAO


Image result for picha ya Charles Mwijage

Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma

Serikali  imewataka wananchi kushiriki kikamilifu uanzishwaji wa viwanda vidogo vya kusindika vitunguu Saumu na Mazao mengine ya Biashara katika maeneo yote hapa nchini.
Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Martha Umbulla, Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage amesema kuwa mazao ya Pareto na Vitunguu saumu yanayolimwa katika Wilaya ya Mbulu na maeneo mengine yana thamani kubwa na yanaweza kuchochea na kuhamasisha uanzishwaji wa viwanda vya kusindika mazao hayo.
 “ Kwa kutambua faida zitokanazo na zao la pareto, Serikali iliamua kuanzisha Bodi ya Pareto kwa lengo la kudhibiti uzalishaji, usindikaji wa biashara ya pareto hapa nchini” Alisisitiza Mhe. Mwijage
Akifafanua amesema kuwa Serikali itaendeleza juhudi za kuhamasisha uwekezaji kwenye viwanda vya kuengua na kuchuja pareto ili kuongeza thamani ya zao hili na kuwanufaisha wananchi katika maeneo yanayolima pareto ikiwemo Wilaya ya Mbulu.
Kwa upande wa zao la Vitunguu saumu Wizara ya Viwanda kupitia karakana za SIDO katika mkoa wa Arusha na Kilimanjaro zinatengeneza  “Blender” ambayo itatumika kusaga zao hili kuwa katika mfumo laini ‘’ Garlic Paste” teknolojia hiyo inapatikana kwa gharama  ya shilingi milioni moja na laki nane.
Aidha, SIDO imekuwa ikitoa mafunzo kwa vikundi na watu binafsi juu ya usindikaji wa zao la vitunguu saumu katika mikoa inayolima zao hilo.

Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli imekuwa ikihamasisha na imefanikiwa katika kuvutia wawekezaji na wananchi kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa uchumi wa viwanda hapa nchini.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.