Klabu ya Arsenal imemtangaza Unai Emery kuwa kocha wao mpya ambaye anarithi mikoba ya Arsene Wenger.
Arsenal wamethibitisha kumsajili Unai ambaye alikuwa kocha wa PSG kwa misimu miwili iliyopita.
“Our new head coach. Together, let’s make this era a special one #WelcomeUnai,” wameandika Arsenal kwenye mitandao hiyo.
Unai amedaiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu wa kuifundisha timu hiyo ambapo atakuwa akilipwa mshahara wa paundi mlioni tano kila mwaka.
Comments