Professor ametumia mtandao wa Instagram katika kuonyesha hisia zake
hizo huku akimkaribisha Mbunge mwezake huyo wa Jimbo la Mbeya Mjini.
Kupitia mtandao huo Jay ameandika, “MUNGU ni wetu sote… Hatimaye Yametimia Karibuni sana URAIANI Makamanda Wetu SUGU na MASONGA.”
February 26 ya mwaka huu Sugu alihukumiwa kifungo cha miezi mitano
gerezani akiwa na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga kwa
kosa la kutoa lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli.
Comments