CHUO cha Usimamiziwa Fedha (IFM) kimeanzisha masomo
katika programu mpya tatu katika masuala ya Huduma za
Bima na Hifadhi za Jamii katika kitivo cha bima na hifadhi
za jamii Chuoni hapo .
Hali hiyo imetaja pia itaongeza kichocheo kingine cha kupatikana
wasomi wengi wenye weledi mkubwa katika huifadhi wa jamii
watakao fanya kazi na jamii kuielimisha hili iwe na kilimo kinacholimwa
na watu wanaoelewa nini wanacho kifanya.
wasomi wengi wenye weledi mkubwa katika huifadhi wa jamii
watakao fanya kazi na jamii kuielimisha hili iwe na kilimo kinacholimwa
na watu wanaoelewa nini wanacho kifanya.
Akizindua programu hizo Dar es Salaam juzi Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Dr. Ashatu Kijaji alisema amezindua Programu tatu za huduma za Bima na
hifadhi za jamii ambapo Programu hizo ziko katika makundi matatu
ambazo ni Sayansi ya tathimini na huai wa Bima (Masters Of Science
In Social Protection Policy Develoment (MSPD) ambayo watasoma
wanafunzi wa shahada ya kwanza chuoni hapo.

Alisema Programu zilizobaki ni ya masuala ya Bima na hifadhi za jamii ambazo
watasoma wanafunzi wa shahada ya pili katika chuo hicho,mchango wa sekta ya
bima katika uchumi ni mdogo kutokana na uelewa mdogo wa wananchi jambo ambalo
litapunguzwa na kupata wasomi wengi wenye weledi kwa sasa.
"Kuzinduliwa kwa programu hizi ni mkombozi kwa watoa huduma wa bima
kwani wahitimu hao kwa kiasi kikubwa wataingiza huduma za bima katika
kilimo hivyo kupunguza machungu ya wakulima pale ambapo mazao yanaharibika
kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo ya hali ya hewa,"alisema Dr. Kijaji.
"Watapatikana wasomi wengi wenye weledi mkubwa katika huifadhi wa jamii
watafanya kazi na jamii kuielimisha hili iwe na kilimo kinacholimwa
na watu wanaoelewa nini wanacho kifanya baada ya kuingiza kilimo
mkatika bima ambapo wanafanya kazi bila kujali mabadiliko ya hali
ya hewa au vihatalishi vya kubadilika badilika kwa bei katika oko la
mazao nchini,"Alisema Kijaji.
Alisema wataalam hawa watakao zalishwa nidhahili wataongeza wateja
watumia huduma za bima katika nyanjazote kwani tayari wanao ushawishi
mkubwa na mbinu za jinsi ya kuelimisha wananchi, waka elewa umuhimu
wa kutumia bima.
watumia huduma za bima katika nyanjazote kwani tayari wanao ushawishi
mkubwa na mbinu za jinsi ya kuelimisha wananchi, waka elewa umuhimu
wa kutumia bima.
Kwa upande wake mratibu wa programu hizo Zubeda Chande ambaye pia ni
Mkufunzi katika Idara ya Hifadhi ya Jamii pamoja na bima walisema
kwa kiasi kikubwa programu hizo zitakuwa na mchango mkubwa wa kuelimi
sha Umma umuhimu wa kununua bima na kujiunga na mifuko ya hifadhi ya
jamii ambayo awali watu wanaonekana kutoipa kipaumbele katika maisha
yao ya kila siku.

"Sisi kama menejimenti ya IFM tumefanya utafiti na kugundua watu wengi
hapa nchini hawajajiunga na huduma za bima pamoja na hifadhi za jamii,
utafiti huu tumefanya katika nyanja zote za bima hali ambayo imetoa
msukumo kuanzisha programu hizi ambazo kwazo huduma za bima na hifadhi za
za jamii,"alisema Dr.Chande.
Alisema kwa kiasikikubwa programu hizo zitasambaa kwa kiasi kikubwa kwa
wananchi kwani wanafunzi watawawezesha kifedha kuwazungukia wananchi
mikoani na kufanya utafiti wa kujua kwanini watu wengi hawataki kununua
bima au kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii.
Naye mwanafunzi wa kituvo hicho Donald Masai amesema kufikia mwaka
2025 uchumi wa Tanzania utakuwa umefikia uchumi wa kati ambao utawezesha
kila mwananchi kuchangia pato la Taifa kupitia matumizi ya bima.
"Katika suala zima la ukuaji wa uchumi lazimaukutane na changamoto nyingi
ambazo kimsingi ukitaka usiumize akili katika masuala muhimu ya maisha
wewe jiunge na bima ambazo zitakupunguzia maumivu katika yote unayofanya
na unayokusudia kwani yakikwama kwa changamoto zilizokinyume na uwezo
wako bima inakulipa unaanza upya,"alisema Masai.

Wanafunzi watakao fuzu vyema programu hizo watafadhiliwa na Umoja
wa Ulaya kwenda kusoma nje kwa kupata weledi zaidi.
wa Ulaya kwenda kusoma nje kwa kupata weledi zaidi.
Comments