Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imesema mpaka kufika robo tatu
ya mwaka wa 2017/18 Wamefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi
bilioni 132.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es salaam Kaimu
mkurugenzi msaidizi wa urejeshaji mikopo Phidelis Joseph
amesema kuwa kwa mwaka 2006 walikuwa wakikusanya kiasi cha
shilingi bilioni 2 kwa mwezi lakini mpka kufika sasa wamekuwa
wakikusanya shilingi bilioni 15 kwa mwezi na kudai kuwa bado
wanadai kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 250 ambazo bado ziko nje.
Aidha amewaomba waajili kuhakikisha wanawakata kiasi cha
asilimia 15% cha mshahara wa wajiliwa wao.
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Imekuwa na kampeni ambayo
iliweza kuwafikia zaidi ya waajiliwa 80 na taasisi mbalimbali
na kuhamsisha namna ya utaratibu wa urejeshaji mikopo na
kampeni ilianza jijini Dar es salaam ikafata Dododoma,mwanza
na kwasasa inaelekea Zanzibar

Comments