Imeelezwa kuwa ifikapo mwaka 2020 asilima 50 ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanatarajiwa kupatiwa elimu ya uwekezaji ya masoko
ya mitaji na bidhaa.
ya mitaji na bidhaa.
Vyuo Vikuu vimetajwa kuwa ni taasisi za elimu ya juu ndio wawekezaji wa baadae hivyo lengo lao kuwajengea uwezo kuhusu kujipatia fursa na faida za kushiriki katika kuwekeza kwenye masoko na mitaji ili waweze kujiwekea utamaduni wa kuweka akiba.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya masoko ya mitaji na dhamana (CMSA) Nicodemus Mkama akizungumza(picha na mtandao)
Mkama amesema kuwa wameweka fedha taslimu wakiwa na matumaini
kwa wanafunzi watakaoshinda zawadi watatumiwa sehemu ya fedha
kuanzisha uwekezaji katika masoko ya mitaji kwa kutumia hisa,
vipande vya uwekezaji wa pamoja au hati fungani.
Kwa upande wao baadhi ya wanafunzi ambao wameshiriki kwenye shindano
la mwaka jana Brayan Chuwa ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi Mkuu wa
Bicon Finacials Limited pamoja na frediana Marulo wameeleza namna
ambavyo wamenufaika na mashindano hayo kwani wameweze kufungua
makampuni yao na wengine kuajirirwa kwenye makampuni makubwa.
WAnavyuo wametakiwa kushiriki kwenye shindano hilo
kwani linatoa fursa mbalimbali sio tu kwa zawadi zinazoshindaniwa
balifursa ya uwekezaji na ajira ambazo zitachangia kukuza kipato
cha mtu mmoja mmoja na kuwezesha katika kukuza uchumi wa nchi
ambapo limeanza leo na litahitimishwa agosti 30 mwaka huu likiwa
limelenga kushindanisha uandishi wa insha isiyozidi kurasa nne na
kwa njia ya kujieleza.

Comments