Kiungo mkongwe wa Kibrazil – RONALDINHO anatarajiwa kufunga ndoa na vimwana wawili kwa mpigo ndani ya siku moja.
Ndoa hiyo itafungwa mwezi Agust ambapo staa huyo atawahalalisha wapenzi wake hao wawili Priscilla Coelho na Beatriz Souza kuwa wake zake halali.
Inasemekana wanawake hao wawili wamekuwa wakiishi na Ronaldhino kwenye jumba lake la pauni milioni 5 huko Rio de Janeiro tangu mwezi Disemba mwaka jan
a
Comments