Share
Tweet
Share
Share
Mikel Arteta kocha msaidizi wa Manchester City anazidi kukikaribia kibarua cha kuikochi Arsenal, lakini anataka awe na sauti juu ya maamuzi ya usajili.
Nyota huyo wa zamani wa Everton na Arsenal mwenye umri wa miaka 36, anatarajiwa kurithi mikoba ya Arsene Wenger ambaye anaondoka baada ya kuifundisha Arsenal kwa miaka 22 mfululizo.
Arteta anajua wazi kuwa atapewa bajeti ndogo ya usajili, lakini ana imani kuwa mauzo ya kiungo Aaron Ramsey yatampa jeuri ya kufanya usajili makini.

Comments