Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (aliyekaa katikati) akizungumza na wanahabari
wanahabari wakifuatilia mkutano huo
wanahabari wakifuatilia mkutano huo
wanahabari wakifuatilia mkutano huo
Kamati ya Umoja wa Mataifa UN inayotetea haki za watu wa Palestina Leo imekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga Mahiga ili kupata suluhu ya kuwasaidian kuwa nchi huru.
Dkt Mahiga amezungumza na wanahabari jijini Dar es salaam ambapo amesema watashirikiana na Umoja wa mataifa kuhakikisha wanawasaidia Wapalestina kupata haki zao.
“Majukumu ya Umoja wa Mataifa ni kuhakikisha wanayasaidia mataifa ambayo hayajapata uhuru yanafanikiwa kupata uhuru ikiwa ni pamoja na kupewa haki zao”amesema Dkt Mahiga
sikiliza sauti Dkt Mahiga akiwazungumzia Wapalestina
sikiliza sauti Dkt Mahiga akiwazungumzia Wapalestina
Comments