Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam leo limetoa takwimu ya matukio ya uhalifu ambayo yameripotiwa kwa mwaka 2017
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa akizungumza na wanahabari
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam leo limetoa takwimu ya matukio ya uhalifu ambayo yameripotiwa kwa mwaka 2017 kuwa ni Laki moja na elfu 26 na miambili ukilinganisha na mwaka 2016 ambayo yalikuwa ni laki moja na 29 miasita na mbili.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa ametoa takwimu hiyo wakati akizungumza na wanahabari hii leo ambapo amesema kulinganisha data hizo kuna upungufu wa matukio elfu mianne na tano sawa na 2.6%.
Comments