Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma inawezekana asimalize muhula wake wa mwisho madarakani
baada ya chama cha ANC kumchagua Cyril Ramaphosa kama kiongozi wake
mkuu.
Kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita, Ramaphosa alikua
rafiki wa karibu wa Zuma na hata msaidizi wake, lakini uhusiano wao
umekua wa mashaka siku za karibuni.
Ramaphosa anasema atapambana na rushwa jambo ambalo kwa Zuma limekua kama mzigo.
Hivi ni vitu vichache ambavyo vinaweza kujitokeza kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2019:
Comments