KLABU ya Barcelona imepanga kumtwaa kiungo wa timu ya Chelsea, Willian raia wa Brazil mwenye miaka 29.
Uhamisho huo unakuja baada ya mipango ya kuinasa saini ya staa wa Liverpool, Philippe Coutinho kuelekea kukwama.
Barcelona wamekuwa wakisaka staa wa kuziba nafasi ya Neymar ambaye ameuzwa PSG katika dirisha kubwa la usajili lililopita.
Comments